KiswahiliABCCover
Kiswahili-ABC

Ufafanuzi wa Biblia katika Mazingira na Utamaduni wa Kiafrika

$25.99

Kitabu hiki ni kitabu cha kipekee kuwahi kuchapishwa – kinahusu ufafanuzi wa Biblia katika juzuu moja lililotolewa kwa mara ya kwanza hapa Afrika na wanatheolojia Waafrika ili kuyakidhi mahitaji ya wachungaji wa Kiafrika, wanafunzi na viongozi wa kanisa. Kwa kufasiri na kuzingatia matumizi ya Biblia katika miktadha halisi ya utamaduni wa Kiafrika ulivyo sasa; kitabu hiki kinayaelezea Maandiko Matakatifu vizuri sana na kwa undani kwa njia bora zinazoafiki bara la Afrika kwa umuhimu wake. Kitabu hiki kinatoa ufasiri wa sehemu kwa sehemu ambao unaambatana na muktadha wa Kiafrika unaoeleweka kwa urahisi.

Juzuu Moja la Ufafanuzi. Kimeandikwa na wasomi 70 wa Afrika
Tokunboh Adeyemo, Mhariri Mkuu

Kitabu hiki ni kitabu cha kipekee kuwahi kuchapishwa – kinahusu ufafanuzi wa Biblia katika juzuu moja lililotolewa kwa mara ya kwanza hapa Afrika na wanatheolojia Waafrika ili kuyakidhi mahitaji ya wachungaji wa Kiafrika, wanafunzi na viongozi wa kanisa. Kwa kufasiri na kuzingatia matumizi ya Biblia katika miktadha halisi ya utamaduni wa Kiafrika ulivyo sasa; kitabu hiki kinayaelezea Maandiko Matakatifu vizuri sana na kwa undani kwa njia bora zinazoafiki bara la Afrika kwa umuhimu wake. Kitabu hiki kinatoa ufasiri wa sehemu kwa sehemu ambao unaambatana na muktadha wa Kiafrika unaoeleweka kwa urahisi.

Product Code: REF5126
Price: Kshs. 1,900 / USD 25.99 / Tshs. 34,000
ISBN 9789966805126
Hardcover
Trim Size: 18.7 cm x 23.0 cm
Pages: 1,832
Territory: World
Published 2010

Reviews

There are no reviews yet, would you like to submit yours?